Wakufunzi kutoka Chuo cha Imperial College of Health and Allied Sciences (ICHAS) wapatiwa mafunzo na elimu ya Kuzingatia Umahiri katika Ufundishaji (CBET), ambapo mafunzo hayo wameanza kupatiwa jana tarehe 9 Septemba, 2024 katika ukumbi wa Chuo hicho kilichopo Kisauni nje Kidogo ya Mji wa Zanzibar Mafunzo hayo yamefunguliwa na Mkurugenzi Idara ya Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bakari Ali Silima huku akiwataka wakufunzi kujifunza kwa umakini ili wakalete mabadiliko katika sekta ya elimu ya juu. Mafunzo hayo ya kujengewa uelewa wa pamoja yanahusisha pia Chuo cha The Institute Continuing and Professional Studies (ICPS) na Microtech Institute of Business and Technology (MIBT) na yanatarajia kumalizika siku ya Ijumaa tarehe 6 Septemba, 2024
Dirisha l ........
Soma Zaidi
Wanafunzi wote munakaribishwa kujiunga
Dirisha l ........
Soma Zaidi